Muziki
Afrobeat
Hakuna Amani Bila Umoja Wetu
Kijeba
Album: AMANI
3:15
2,246 plays
11 downloads
31 Machi 2026
0:00
3:15
About This Song
Ndugu Watanzania, hakuna maendeleo yanaweza kufanyika bila ya Amani, hali ya amani inapokosekana kila shughuli ya kimaendeleo husimama, watu hukumbia makazi yao, na kuacha kufanya shughuli zao za kila siku ili kuokoa maisha yao.